Bila Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Bila Mungu - Dully Sykes
...
AMRAM on the beat
Nilipotokea Mungu pekee anajua
Nilikuwa ninapotea machungu kwake kuchwa mwajua
Amakweli mungu bingwa, Mungu Biingwa aaa..
Ametenda nimeshinda, Nimeshiinda aa..
Nilikimbiwa na marafiki, Jamaa na nduugu
Wakafanya unafiki, Mateso na gubu
Wamesahau mungu wa kwetu sote, Na anatenda wema aa.
Wakasahau Mungu yupo popote, Pia Mungu ni mwema aa.
Wamesahau Mungu wa kwetu sote, Na anatenda wema aa.
Wakasahau Mungu yupo popote, Pia Mungu ni mwema aa.
Bila Munguu, Leo ningekiwa nanii?
Bila Munguu, Wangenishusha thamani.
Bila Munguu, Leo ningekiwa nanii?
Bila Munguu, Wangenishusha thamani.
Walitaka niwe fukara, Wakataka nife kwa njaa.
Eti nikose hata pakulala, Mradi waninyime furaha.
Walitaka niwe fukara, Wakataka nife kwa njaa.
Eti nikose hata pakulala, ila Nina Munguu.
Mtukufu Mwenyezimungu, Apewe sifa aa.
Amenikinga kwenye vita na balaa.
Aliyeumba ardhi na mbingu na vitu vote vya Duniaaa
Amezifuta shida, amenirudishia furaha
Walikaribu kwa waganga, wakachoma mitishamba
Lakini walishindwa, mana Mungu atoshee,
Walinitisha kwa mapanga, Wakataka kuni chaanja
Yote walikichosha, Mwenyezimungu atoosha
Wamesahau Mungu wakwetu sote, na anatenda wemaa
Wakasahau Mungu yupo kokote, Pia Mungu ni mwemaa,
Wamesahau Mungu wakwetu sote, na anatenda wemaa
Wakasahau Mungu yupo kokote, Pia Mungu ni mwemaa.
Bila Mungu uu, Leo ningekuwa nanii?
Bila Mungu uu, Wangenishusha thamanii.
Bila Mungu uu, Leo ningekuwa nanii?
Bila Mungu uu, Wangenishusha thamanii.
Walitaka niwe fukara, wakataka nife kwa njaa,
Etinikose hata pakulala, Mradi waninyime furaha.
Walitaka niwe fukara, wakataka nife kwa njaa,
Etinikose hata pakulala, Ila nina Mungu uu
Muunguu,
Mungu weee
mungu weeee
Mungu weeee
Mungu wee, Mungu
Mungu wee, Mungu, Mungu weee
Mungu wee, Eeeeee
Mungu wee, Aaaaaa
Mungu weee,
Mungu weee, Weeee
amram on the beat..