Raha Ya Tunda ft. Yammi & Young Lunya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Raha Ya Tunda ft. Yammi & Young Lunya - Dully Sykes
...
babe
bad gang killer
dume la megah
prince dully Sykes for the men
.....
.....
Raha ya tunda ni kupuni,
ila mapenzi hayataki gharama
najua unanipenda mie, mwenzio ninasikia,
Raha ya tunda ni kupuni,Tena mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mie mwenzio ninasikia Raha,
Dully Sykes
Girl you know why, love you till i die,
ukinipa maraha, i feel like i fly,
njo karibu nikumbate, nikuonjeshe mukate,
kiuno mwali ukikate, nikilegeze na mate,
mama, unanifanya kuwa crazy ukichutama,
wanichanganya Kwa mapenz mama rihama,
kukudanganya ndo siwezi mpaka kihama,
rost ya nyama nyepesi, let me sing again
unanifanya kua crazy ukichutama,
wanichanganya Kwa mapenz mama rihama,
kukudanganya ndo siwezi mpaka kihama,
rost ya nyama nyepesi, maraha.
Raha ya tunda ni kupuni Tena mapenzi hayataki karaha,
najua unanipenda mie mwenzio ninasikia Raha, ya tunda ni kupuni Tena mapenzi hayataki karaha,
najua unanipenda mie mwenzio ninasikia Raha
ooh my!!!
kote nimepita Kwa kutamba ila kwako wewe ni moto wa kuotea mbali,
Raha ya penzi nipe nikupe , me NATAKA unipe vyote umeniskia mwali,
ukiachana na uzuri wa Tanzania , unafuatia wwe hicho nacho Cha kuzingatia darling,
baba anataka kuitwa Babu na ndo mana Kila bao me nafanya kumwagia ndani
skia nikwambie baby, kesho Toka na kimini uwaringishie body,
nakupiga ndoa Nenda sambazia kadi,
nimeloa kama vile umenimwagia maji
na mama Ako mzaa chema alijua kutunza
kakulea Kwa misingi ya maadili ya heshima,
swezi nikakosa miti Kasi ya kufanya, unajua Cha kufanya ni kuniombea uzima ,
mbona wanao kunja wapo,!!
ila we sio saizi yao
wanachokijua ni kusema tu habari wanazotaka kuskia sio habari zao,
pesa ninazo za ku flex ....
lakin basi, nakugongea lingima na dully Sykes,
moyo WANGU mimi umekupenda wewe story za wengine walopita me Naona zisitu gasi,
sheet sex
wazee walisema ya kweli ooh ooh,
mpende akupendae asie kupenda achananae
ya kweli yanatoka moyoni ooh ooh,
na mengine ya wongo yatafata baadae,
Kuna kupendwa na kutendwa,
Kuna furaha na kulia,
jua Mimi nakupenda mpenzi WANGU Raha tunae,