Inde Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2013
Lyrics
Inde - Dully Sykes
...
OverviewListenLyricsArtists
Si sura tu bali shepu na tabia
Alivyobarikiwa ah Inshallah Mola amemwumba
Mi roho juu akiniangalia, moyo unatulia
Ni mzuri wakarunga
I say hi, hi kwanza nafurahi
Kabla hujanipa mambo nipe kikombe cha chai
Najidai kuku-verify bila shy hi
Mama Lai mwana wa masai
We nipe bila kipimio, macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
We nipe bila kipimio, macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
Aaah akiniona anachee eh, anacheka
Anadee eeeh anadeka
Aaah akiniona anachee eh, anacheka
Anadee eeeh anadeka
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde, inde monie
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde, inde monie
I say la lalala
Kiuno chako propeller
Body yako umeivisha dera
Mzuri mpaka unakera
In the morning unanipa bila shaka mwingine hapana taka
Kiunoni baby wacha mashaka mie hoi nyaka nyaka
Mwingine sioni una utamu wa bata natafuna ninavyotaka
Nimo jangwani nipatie wa Arusha twende tukapozi Tabata
We nipe bila kipimio, macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
We nipe bila kipimo, macho mpaka visigino
Nikumwagilie wino, yangu sio mbilikimo
Akiniona anachee eeeh anacheka
Anadee eeh anadeka
Akiniona anachee eeeh anacheka
Anadee eeh anadeka
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde, inde monie
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde, inde monie
We si mchoyo unanibamba ninakwisha kabisa
Parala pa parala papaaa papa parala papa
Kama kibogoyo unavyoilamba nadatika kwa visa
Parala pa parala papaaa papa parala papa
Inde mama inde (inde monie)
Inde mama inde (inde monie)
Inde mama inde (inde monie)
Inde, inde monie
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde mama inde
Inde, inde monie
Chunga pesa waka waka waka waka
Parala pa parala papaaa papa parala papa
Waka waka waka waka waka waka waka
(Parala pa parala papaaa papa parala papa)