
Napenda Nipate Lau Nafasi
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Napenda nipate lau nafasi
Nipate kusema nawe kidogo aah mamaa
Rohoni naumiaaaa
Hakika la kufanya bado sijaliona
Nimeona leo bora nikuite
Huenda punde roho yako ikadunda
Ikaja siku ukaja nipoza moyo mamaa
Rohoni naumiaaa
Mmmh
Katika kuja kwako wewe wangu mpenzi
Ni kama mganga utayenitibu katika maradhi yanayonisibu
Hakuna mwingine ila ni wewe mpenzi
see lyrics >>Similar Songs
More from Ben Pol
Listen to Ben Pol Napenda Nipate Lau Nafasi MP3 song. Napenda Nipate Lau Nafasi song from album Napenda Nipate Lau Nafasi is released in 2020. The duration of song is 00:02:35. The song is sung by Ben Pol.
Related Tags: Napenda Nipate Lau Nafasi, Napenda Nipate Lau Nafasi song, Napenda Nipate Lau Nafasi MP3 song, Napenda Nipate Lau Nafasi MP3, download Napenda Nipate Lau Nafasi song, Napenda Nipate Lau Nafasi song, Napenda Nipate Lau Nafasi Napenda Nipate Lau Nafasi song, Napenda Nipate Lau Nafasi song by Ben Pol, Napenda Nipate Lau Nafasi song download, download Napenda Nipate Lau Nafasi MP3 song
Comments (18)
New Comments(18)
dully294
dully294
[0x1f621][0x1f608][0x1f603][0x1f612][0x1f630]
rajb3o4ih
✌️
Chris Aivan 1999
[0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
freshtagtz
lau nafasi , king ben[0x1f641]
mohammedy zimbwe
song flani iv karisana
Edithahly9z
haka kamuziki yaani, we acha tu [0x1f63f]
NEXT LEVEL PRESIDENT
ngori
Emily Emily'
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . best song
COLLIN MATAJIRI 7
best remix
Cosy Reece Charles
i keep on repeating this song [0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Best of all time for me [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]