Dhahabu ft. Joselin & Mr, Blue Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Dhahabu ft. Joselin & Mr, Blue - Dully Sykes
...
ooh seaah omama se
omama oya a a se aa
nakupenda ma basi njo ma
mi kila saa kabisa uko kichaa
girl just listen tuish Kama Hannah
nakuweka kwenye top ten
nadata na reception
mi natoka hoi panda saut ya b boy
niite baby boy
tumia acha ndan ya toy
toz nipo coz mapoz yamekwenda coz na
Sasa toz nahisia za machoz
napenda zako ndef nywele zmekwenda shule
kwanza maumbile nadata toka kipind like
sura yenye mvuto mashavu yenye dimpoz x2
ooh ooh ooh ni yan sooh
nimepata dhahabu mtoto wa kariako