Zali Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Zali - Dully Sykes
...
Nawaza unakesha ghetto usiku na mapaka kisa mapenzi aman unanijinyimaaa
aaagh
moyo una matatizo unapaparika papaaah
——— wa moyo we shirimaaaa aaaaagh
kimara aaaaah temboni mbaliii ilalaaaaaa nina nyumba kaliiiiiii
na moyooooo kwangu unajaliii kuwa na mimi ni kama zaliiiiii
she sound like pampaaa mpira pampaaa mpiraaa pampaaaaaaa
pampaaaaaaa X4(repeat twice)
Endelea kuringa ringa wenzako wananitaka sitaki kuwa taja kwa majinaaaa aaaagh
nipe moyo nipe roho nikusajili BASATA ili nikija kutoa nyimbo wasijewakanizima
kimaraaaaaa temboni mbaliiiiii ilalaaaaaaa nina nyumba kaliiiii na moyo wangu unajaliiiii kuwa na mimi ni kama zalii
she sound like pampaaa mpira pampaaaaaaa mmpira pampaaaa
pampaaaaaaaa pampaaaaaaa X4