Hunifahamu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Hunifahamu - Dully Sykes
...
Hunifahamu Sikufahamu We Mama
Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu we Dada
Keti Chini kisha Unihadithie
Unifahamu Sikufahamu
we Mama Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu We Dada
Keti Chini Kisha Unihadithie
Unifahamu Sikufahamu We Mama
Iweje Leo Unipakazie
Kumbuka Mapenzi Hayalazimishwi Iii!
Ungeniambia Kuliko Kunipakazia
Tumegombana Na mama watoto Wangu eee!
Yote Dada kwa Ajili Yako
Umetumwa Na nani, Au nieleze Unachohitaji iii!
Unifahamu Sikufahamu mama
iweje Leo Unipakazie Eee
Iweje Leo Unipakaziee eee!!!
Unifahamu Sikufahamu We Mama
Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu we Dada
Keti Chini kisha Unihadithie
Unifahamu Sikufahamu
we Mama Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu We Dada
Keti Chini Kisha Unihadithie
Niambie sasa Unachotaka Nini weee!!
Nieleze Umetumwa Na nani
Roho Yangu Waisononeshaa Aaaa!!
Kwanini Hutaki kusemaa
Suraa ngeni sikufahamu wewe!
Nieleze Tulionana Wapi
Siwezi Kusema Nguvu zimekwisha Aaah
Niambie Unachotaka Nin
Siwezi Kusema Nguvu Zimekwisha Aaah!!
Niambie Unachotaka Nini weee!!!!
Unifahamu Sikufahamu We Mama
Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu we Dada
Keti Chini kisha Unihadithie
Unifahamu Sikufahamu
we Mama Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu We Dada
Keti Chini Kisha Unihadithie
Visa Vya Mapenzi Ya watu
Nyoka Mwenye Sumu Kali
Sikufahamu Unifahamu Dada
Unameza Kama Chatu
waenda Kutemea Mbali
Ooh Sikufahamu Unifahamu Dada
Visa Vya Mapenzi Ya watu
Nyoka Mwenye Sumu Kali
Sikufahamu Unifahamu Dada
Unameza Kama Chatu
waenda Kutemea Mbali
Ooh Sikufahamu Unifahamu Dada!!!
Weee Muziki ya Wakuubwaaa!!
This is Dully Sykes
Umeipata Iyooo! Skiaaa
Weeee! Chiii Weee Eeeeeehee!!
Weeeeee!!! Mkono wa Double B
Si mchezo 2005
Unifahamu Iweje unipakazie
This is Your Message Mama
Umeipata Hiyooo Popote Ulipo
Hahahaaa
Unifahamu Sikufahamu We Mama
Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu we Dada
Keti Chini kisha Unihadithie
Unifahamu Sikufahamu
we Mama Iweje Leo Unipakazie
Unieleze Kwa kirefu We Dada
Keti Chini Kisha Unihadithie!
Visa Vya Mapenzi Ya watu
Nyoka Mwenye Sumu Kali
Sikufahamu Unifahamu Dada
Unameza Kama Chatu
waenda Kutemea Mbali
Ooh Sikufahamu Unifahamu Dada!!! X2
Lyrics by:
Benard Mshana