Balaa ft. Lava Lava Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Balaa ft. Lava Lava - Dully Sykes
...
Balaa, balaa
Balaa balaa
Balaa, balaa
Balaa balaa
Mola amekaumba
Kana kichuguu
Na vinido dede
Sura mviringo
Zigo linayumba yumba
Chini na juu amejaza mkebe
Kananivunja shingo
Kameshonea rangi akitoka Dubai
Ooh Dubai, ananichanganya
Namganda kama ng'ombe na masai
Oooh masai, hasi na chanya
Eeeh, basi twende sawa
Inde mama inde
Fanya wainuka ipinde
Inde mama inde
Jifanye umepagawa
Inde mama inde
Fanya wainuka ipinde
Inde mama inde
Eeeh! Huyu mtoto bwana
Ana balaa, balaa
Anavyokata nyonga
Balaa, balaa
Mmmmh! Huyu mtoto bwana
Ana balaa, balaa
Ugali anavyosonga
Balaa, balaa
Katoto kachanganya na usomali
Hata akidinda mwana atanoga mwali
Na akidondondo, kidondo mwali
Na mi nashindilia ka msumari
Katoto kachanganya na usomali
Hata akidinda mwana atanoga mwali
Na akidondondo, kidondo mwali
Na mi nashindilia ka msumari
Katoto kana changale
Inawaka waka inawaka
Mapaja ndondo falale
Natapa tapa natapa
Na kegeza kama kamale
Inanata nata inanata
Dibwi kama nipo madale
Nachapa chapa nachapa
Akinipaga sikatai(Naichopepe)
Natimbua papai(Naichopepe)
Yaani mbwai mbwai(Naichopepe)
Naipiga nailamba naiganda
Naikaza ngingingi(Naichopepe)
Yaani ndindindi(Naichopepe)
Utamu mbilimbi(Naichopepe)
Eeeh, basi twende sawa
Inde mama inde
Fanya wainuka ipinde
Inde mama inde
Jifanye umepagawa
Inde mama inde
Fanya wainuka ipinde
Inde mama inde
Eeeh! Huyu mtoto bwana
Ana balaa, balaa
Anavyokata nyonga
Balaa, balaa
Mmmmh! Huyu mtoto bwana
Ana balaa, balaa
Ugali anavyosonga
Balaa, balaa
Mmmh! Ona mtoto analimwaga
Analimwaga mwaga, mwaga
Yaani anavunja chaga
Analimwaga mwaga, mwaga
Kama kate la kumimina
Analimwaga mwaga, mwaga
Miuno feni anasigina
Analimwaga mwaga, mwaga
Kama kuku anataga!