![Naanzaje ft. Maua Sama.](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/01/cc75e47ed2e045f3b278dc00bb0b3ff2.jpg)
Naanzaje ft. Maua Sama. Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Naanzaje ft. Maua Sama. - Dully Sykes
...
abaah kukutesa kukupiga kukunyanyasa yani naanzaje sipotayari uniache kukukosa yani naanzaje vishawishi naepuka yani kukucheat naanzaje tumetoka mbali usiniache kukusaliti mie naanzaje*hey laazizi weweee sina wasi naweeee wali nazi dagaaa mcheleee waniweza weeee yaaaa ohoooo baby kukukataaa weweeeee siwezi mahaba niuweeeeee ohoooo baby nimedata nawewe yeiyeeee ?