Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2019

Lyrics

Leah - Dully Sykes

...

hooo hohohoo hooo hohohooo hooo hohoho hhohohoooo...

Nilimkuta leah amejilaza chini kwenye kituo cha wamataa huku ngozi yake ya maji ya kunde imegeuka ya manjano isiyopendeza..

Unafanya nini nikamuuliza akanijibu anaumwa pia ana njaa msichana wa miaka kumi na tisa kumbe alikuwa amesha athirika nikampeleka duka la madawa ili vidonge kidogo vimuweke sawa kwani alikuwa na fangasi mwili mzima nikamridhia anihadithie stort nzima,

akaanza kuniadithia kwa huruma kwamba siku moja alikuwa anatoka shuleee leah siku hiyo njaa ilimtawala akatokea dereva wa daladala,

akamwambia leah lift panda mbele japo mwanafunzi akae kiti cha mbele tena bila malipo ni bure bure akaanza kumtongoza polepole,

sababu leah njaa ilimtawala akaambiwa atanunuliwa chips soda ilivyofika jioni akanunuliwa wakapanga wakutane tena pale pale,

ilivyofika siku wakakutana pale akapanda daladala hadi usiku wakaenda kufanya yao mavitu wakaenda kufanya yao mavituuu leahhh...,


Leeaaahhhh umekwendaaaa yoyote molaaa amepangaaa×2


Akamrubuni nakufanya mapenzi akawa akitoka shule yeye kwa mchizi kwa bahati leah shule alimaliza baada tu ya kumaliza akatoroshwa,

akaishi nae kama mke na mume nyumbani alikuwa na majukumu yote kuosha vyombo kupika na kadharika ikawa akikosa kidogo aanapigwa,

baadae mwanaume akawa kisirani akawa anaingiza wanawake ndani alivumilia mpaka mwisho kashika mimba alikaa nayo mpaka miezi tisa,

alijifungulia huko Muhimbili mtoto akafa baada ya miezi miwili alikufa kwa ugonjwa wa animonia baadae naye aliugua,

alikuwa na tatizo la kifua tiubakoloses ndio ilimsumbua muda wa wiki mbili alisumbuliwa ilipofika tarehe sita mwezi wa kumi,

nakumbuka siku hiyo ilikuwa jumapili ndipo siku hiyo leah alifariki ilipofika jumanne tarehe nane ikabidi watu wote tuungane,

tukamzika tabata makuburi hapo ndipo yalipokuwa makaburi,

Mungu mlaze mahali pema peponi,Mungu mlaze mahali pema peponi leah....


Leeeaaahh umekwendaaaa yoyote molaaa amepanga×2


Naitwa Sebastian ndege mzee wa njia panda jamii yetu haina budi kuwawezesha vijana kukabiliana na mazingira yanayowazunguka kwa kuwapa elimu bora ya Afya ya Uzazi,Malezi bora,kuanzia ngazi ya Familia na hadi sheria na sela zinazomjenga kijana na jamii kwa ujumla,

shukrani kwa wana njiapanda kwa kujitolea misaada mbalimbali kwa Leah na hata kumsomesha,

Mungu ailaze roho ya malehem Leah mahala pema peponi Amina.


Leeaaahh umekwendaa yoyote molaaa amepanga×2...

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status