Ragga Soka ft. Masauti Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Ragga Soka ft. Masauti - Dully Sykes
...
ragga soka ft masaut
verse 1
masauti kenyan boy 001
oho hoh
kina pisi kali yaani tototo
chukua piga safi piga phototo
zimewaka kama mototo
Aisee tuko fresh yaani prokoto
we kichuna unanikoroga (kotoga)
akiri yangu ushaivuruga (vuruga)
umenijaa yaani all over (all over)
all over (all over) yaani all over
wacheza rumba za upinzani za kunogea nyama
wale mafundi wa biliani chuzi limekolea nyanya
dona haikatai (aaaha)
choma hainang'ai (aaaha)
ukishaitonya waikadai iwe kwenye matete Ni maseke seke.
(chorus)
piiii ragga ragga soka
piiii look mamegar and shine
piiii am ragga soka
(Hura)
hura hura huraoooh
piiii ragga ragga soka
piiii look mamegar and shine
piiii am ragga soka
(Hura)
hura hura huraoooh
verse 2
Livingston, Tabata,
Kingston, Jamaica,
Alldone, gangster
I was born, to be star
Kama Romariyoo, Naivusha,
mpaka repatio, Arusha,
Ona vipapatio, Sambusa,
Kuomba kumbatio, ni ruksa.
wacheza rumba za upinzani za kunogea nyama
wale mafundi wa biliani chuzi limekolea nyanya
dona haikatai (aaaha)
choma hainang'ai (aaaha)
ukishaitonya waikadai iwe kwenye matete Ni maseke seke.
(chorus)
piiii ragga ragga soka
piiii look mamegar and shine
piiii am ragga soka
(Hura)
hura hura huraoooh
piiii ragga ragga soka
piiii look mamegar and shine
piiii am ragga soka
(Hura)
hura hura huraoooh
kiitikio
Tunaitaka kwenye giza ilete, ona ka imeiva ilete.
miminao kimeshiva ilete, mwenzenu kimetupa figa ilete.
raraaaa
Hura
(hura)
Written by: Sr Marekani please follow me.