- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mama - Ben Pol
...
ooooh ! mama !mama ninakupenda mama mama ninakuheshimu mama ×2 miezi 9 mbumbumbu sijui lolotee ila mama wewe waniongelesha miezi 9 tumboni sijui lolote ila mama kabisa uliningojeaaa , ukashona na sare kusubili nianze shule wakasema chizi yule siangengoja akue .eeeh Mama siwezi kukulipa mimi.uliyonipa ayanunuliki ,upendo wako misitosheki..chebe chebe mama.nakukubali weee!ooooooh mama! mama ninakupenda mama mama ninakuheshimu mama×2haaaa ukitoa mungu mbunge ni wewe niwewe niwewe waziri ni wewe niwewe rais ni wewe niwewe niwewe mama kila kitu ni wewe niwewe niwewe aaah nitanunua na khanga zenye maneno mazuri uone natena nitazichanga na sarafu nikupe utumie na Tena nitazichanga ×2 nitakupa na note uone eeeehee ! mamaa sijasahu na sadaka zako kutoka moyoni uliponipa wakati mama yangu hauna ! sijasahau sadaka zako kutoka moyoni uliponipa mama uliponipa mama wakati wewe hauna×2 natena kama nikienda mama ujue nakuthami moyoni mwangu nimekuweka mama aaaha×2 ooooh kipenzi ooooh kipenzi ooooh kipenzi ooooh! ooooh penzi ilo penzi ilo penzi ilo ooo!mama ninakupenda mama Mama ninakuheshimu mama×3 asnte kwa malezi, asante kwa vitumbua ,asante kwa chapati asante kwa kunikumbuka , asante kwa malazi,asnte kwa vibagia, ,asante kwa kunipakula. ASANTE EEE!
Similar Songs
More from Ben Pol
Listen to Ben Pol Mama MP3 song. Mama song from album Mama is released in 2020. The duration of song is 00:04:05. The song is sung by Ben Pol.
Related Tags: Mama, Mama song, Mama MP3 song, Mama MP3, download Mama song, Mama song, Mama Mama song, Mama song by Ben Pol, Mama song download, download Mama MP3 song
Comments (26)
New Comments(26)
Stevensanga
Vizzoo
Jgmclv
Vizzoo
Nz
@mrsnancy
mom mai world
Joyce Kapandetzw29
mama angu popote ulipo nakupenda sana nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu sana
Clinton Sangahhw3k
i love you mama
Lulu Temba9cwcv
nkupend sanaa mama ang,,, kipenz
Lee lena
love you my sweet mom
zwd mollah
love u mamaa❤
I love mai. Mama
Nickson Ngimbus
niceeee
oy