Salome Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Salome - Dully Sykes
...
ooh hoo hoo Salome ju ya Kabul nalia
aah. kilio unakiskia dakika za mwisho
mpenz wangu najutia aha! kosa nilo kufanyia x2
siku ya kwanza nilikutan na wew
me nili Luka na nilipata ki wewe
siku amin kwamba ninge kutana na wewe
ilo lakwanza naomba unielewe
nika kutongoza ukanikubalia ulijipa
moyo tena mia kwa mia
umekwisha pata bwan atakae kuoa
kumbe nilikuona kama Demu wa kuzugia miezi saba mbele iliendelea na mapenz kwako wee yakapungua kumbe ulikua na mimba ya kujifungua miezi yote hiyo Wala hukuniambia