Bijou Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2006
Lyrics
Nikisema I love you, sema I love you too
Nikisema I need you, sema I need you too
Because in every day this is how we do
Please baby girl say you love me too
Sema unachotaka, sema tu
Milele baby Bijou, ona Bijou
Sema unachotaka, sema tu
Wanga watasema, watajijuu
Bonjour Bijou, baby how you know me
Nimekuweka juu, tatizo we haujui
I like the way you walk, Ok Bijou
Sema unachotaka, mtoto wa chuo kikuu
Sema, sema, sema tu
Au twende kinyama ghetto east zoo
Au twende nyumbani kwake Mr. Tuu
Basi kula samaki watamu wa mbembe du
Ona baby boo, I love you
Au nikuimbie nyimbo ya Kibaden Maguu
Au nikuimbie nyimbo ya Losqueez Makuu
Chochote unachotaka baby sema baby Bijou
Nikisema I love you, sema I love you too
Nikisema I need you, sema I need you too
Because in every day this is how we do
Please baby girl say you love me too
Sema unachotaka, sema tu
Milele baby Bijou, ona Bijou
Sema unachotaka, sema tu
Wanga watasema, watajijuu
Sijawahi kuona kama we Bijou
Mrembo mambo safi tena sister Duu
Una manjonjo safi pia mavitu
(Tonya, tonya, tonya, tonya tu)
Bijou karibu ghetto tia maguu
Achana na wajinga wewe ni wangu
Njoo upate raha zenye stata mu
Karibu baby boo baby boo karibu basi
Twende Mombasa kwa mamu
Bijou ukatwe we mi natoka damu
Nimekaa kutekwa hawakunipata mu
Bijou kukuacha we itakua ngumu
Nikisema I love you, sema I love you too
Nikisema I need you, sema I need you too
Because in every day this is how we do
Please baby girl say you love me too
Sema unachotaka, sema tu
Milele baby Bijou, ona Bijou
Sema unachotaka, sema tu
Wanga watasema, Watajijuu
Nikisema I love you, sema I love you too
Nikisema I need you, sema I need you too
Because in every day this is how we do
Please baby girl say love me to me too
Sema unachotaka, sema tu
Milele baby Bijou, ona Bijou
Sema unachotaka, sema tu
Wanga watasema, watajijuu