Tusiachane ft. Phina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tusiachane ft. Phina - Dully Sykes
...
verse 1
ahahaaa
aieeee aieeee aieeee iee iee
aieeee aieeee aieeee iee iee
kwanza kukupoteza ndio kituambacho ninakujutia naishia kumbembeleza mala nyingi sana hutaki kusikia me nimejaribu kujieleza nikipiga simu unanikatia unaishia kunibeza kama sio mwana nilokuchumbia nisiongee eeh mami utaki niongee hatakama kosa lako mama kabisa hutaki niongeee nisiongee eeh mami utaki niongee hatakama kosa lako mama kabisa utaki niongee
(tusiachanee uje tuongee
tusiachanee mwenzio niongee
tusiachane maisha yasongee
tusiachane tusiachanee eeh )×2
verse 2
ila nikipenda napenda sijawai kukosea (kosea)nazidi kumbuka najuta mwanzo nilipotea sio kisilani baby wendo wangu wa moyo wengine sitamani siwazi wendo kipendacho roho moyo umekuchagua
nisiongee eeh dady hutaki niongee hatakama kosa lako baba kabisa utaki niongee nisiongee eeh dady hutaki niongee hatakama kosa lako baba kabisa utaki niongee eeh
(tusiachane uje tuongee
tusiachane mwezio niongee
tusiachane maisha yasonge
tusoachane tusiachane)×2
aieeee aieeeee aieeee ieee ieee
aieeee aieeee aieeeee ieee ieee