Kupenda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kupenda - Dully Sykes
...
usione nakusumbuaa
mi nakupenda wee
Yale mapenzi uliyonipa
ndo yafanya nakusumbua
naomba nihurumieee
unanitesa weee
kupenda kwangu ndo kwanifanya niwe fala bwege kabisa
siwez kuvumilia utaniua wee
penzi lko in laajabu duniani cjapataonaaa
usishangae naliaaa waninyanyasa wee
kosa lang kosa gan maa
kukupenda sio makosaa
lalalala lalalaaaa lalalalalalaa
lalalalalaala lalaalalaaaaa*2
siwez juta kupenda kukupenda wee
m/mungu kanionyeshaa na we ndo malaika wing
nixhike japo mkono twende pamojaaa
popot pale utapokwenda nipo radh na mi nakwenda
mm nafoc mapenz ili unipendeze
unasema mi nakuboa cpendezw kua na we
nakuletea mauaaa wayachoma moto
wanihukumu bila makosa tafadhal tufikirieee
lalalaaa lalala lalaallallaaa lalallaaaa*2
cna makosa wanionea buree
unafurah mi nalia *2
prepared by sharon