![Tuachie ft. Yamoto Band](https://source.boomplaymusic.com/group1/M09/1D/AD/rBEeMV0lu8GAcVkfAACcQUNlOLE481.jpg)
Tuachie ft. Yamoto Band Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Tuachie ft. Yamoto Band - Dully Sykes
...
studio 4.8
eeeehhhhh
twunga pesa
yeye tetele,we budege wapi na wapi
Michele nishautoa pumba
tafuta makapi
aishi kunisifiaa,huku anang'ata kucha
wewe amekukimbia kitambi kinamtisha
yeye niwakwangu na makamoyangu Mimi(sakalama)
anakuogopa(sakalama)
yeemaa(sakalama)
ahaaaaah(sakalama)
yeeyeeee(sakalama)
Mimi ananipenda(sakalama)
Sana
Mimi anapenda aaaaaahhh
tinga kibwaya kalicheze goma
nawatu wazima wenzako
hiki kidali chawatoto
wala hakichezwi na suti zako
tinga kibwaya kalicheze goma na watu wazima wenzako
hiki kidali Cha watoto Wala hakichezwi na suti zako
ooooohhh
mbuyuwee unajifanya mchicha,
mbuyuwee tumekuchoka,
kila siku kututisha
we mbuyuwee unajifanya mchicha,
mbuyuwee tumekuchoka ,
kila siku kututisha
hiilooooooo
sura baya
mnanuka maziwa nyie madogo,
mnataka kushindana na Mimi
kwenye game kitambo
wanashobo niwaache kwanini
nyeee mabwege acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka kwa vyao vihelehele
mmmh tuache
mmmh tuache
wanatupenda wenyewe
oooooooohhhh
nyiee mabwege acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka kwa vyao vihelehele
⏮️⏯️⏭️
umli wenu na mademu havi fanani mtapotea kwenye game
madogo muwe Makini,
ooooohhh
ngonjela ngojela zipunguzeni,
wanakopa hawalipi madeni
hawaishi kulanda kigengeni kwangu
majanja kausheni
ngonjela ngojela zipunguzeni,
wanakopa hawalipi madeni
hawaishi kulanda kigengeni kwangu
madogo kausheni
ahah aha
ukimuona unakodoa
kodoa macho
unakodoa
na vichenchi unavitoa vitoa
kwenye mfuko unavitoa
tatizo nyota babuwe babuwe
ndicho wanachokiogopa kwakowee kwakoweee
maliza maduka babuwe babuwe
utafute navocha babuwe
ummpingie
kutwa kulala Kama pono
pono pono pooono
kusikiliza miguno
miguno guno guno
hapa hakuna kibamia
nilicholisi kwa baba muwa
umeishiwa weee
kweli we jemedali
Ila kwenye music
kwa wake zawatu
nakuomba punguza speed
umli wako wee haufanani nami Kabisa,
Ila chokolo chokolo
utakuja kuanzisha vita
tabia yako wee inabidi kulekebiswa
kwenye vichocholo cholo,
ebu chunga utakuja juta
siunajuwa huyu nimpenzi wangu
achakupiga misele
unaiba maidi shambani mwangu
we nijamii ya ngedele
ngedele ngedele
wenijamii yangedele
ngedele ngedele
we nijamii ya ngedele
mnanuka maziwa nyee watoto
mnataka kushindana na Mimi
kwenye game kitambo
wanashobo niwaache kwa nini
ooooohhh
nyiee mabwege
acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka
kwa vyao vihele hele
ayeee
mtuachieee
tuachiee
mmh
tuachieee
wanatupenda wenyewe
ooooohhh
nyiee mabwege
acheni kupiga kelele
wenyewe wameshoboka
kwa vyao vihele hele
chengelema
chengelema
chengelema
kwamtima Wana
chengelema
chengelema
chegelema