Muntata Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Muntata - Dully Sykes
...
Niko na kadem kana twerk kama gigy money
Nenda kaulize wenye jiji nani (dullyskes)
Yani katoto flan kanapenda kiki kama kitu gani
Yani muntata ndo kagori kangu kakupigia bao
Mpka kumpata nilikaona mwanzo kwenye mitandao
Demu kadata anakata kiuno kama pangaboi
Yani matata anafanya nafyata nakubaki hoi
Muntata muntata
Muntata ale muntata
Namchapa kigongo (muntata)
Namvesha kilemba cha kongo ( muntata)
Miuno ya paka chongo (muntata)
Akichoka napanda mugongo (muntata)
Namgonga mgongo ngo ngongo (muntata)
Namvesha kilemba cha kongo(muntata)
Miuno ya paka chongo (muntata)
Akichoka napanda mgongo (muntata)
Aih twanga mgongo
Aih twanga aih twanga mgongo (muntata)
Aih twanga mgongo
Aih twanga aih twanga mgongo (muntata)
She so fine mdomoni ana kipini full matattoo
Anapenda kudondani yani bonge la queen chini mpka juu
Yani nganganga siwezi kukiacha kwake sichomoi
Mpaka nashangaa kwake nimeshanasa wala sikohoi (shabashii)
Dem kadata anakata kiuno kama pangaboi
Yani matata anafanya nafyata nakubaki hoi
Muntata muntata
Muntata muntata
Namchapa kigongo (muntata)
Namvesha kilemba cha kongo ( muntata)
Miuno ya paka chongo (muntata)
Akichoka napanda mugongo (muntata)
Namgonga mgongo ngo ngongo (muntata)
Namvesha kilemba cha kongo(muntata)
Miuno ya paka chongo (muntata)
Akichoka napanda mgongo (muntata)
Aih twanga mgongo
Aih twanga aih twanga mgongo (muntata)
Aih twanga mgongo
Aih twanga aih twanga mgongo (muntata)
Mhh nipe nikugonge (mabusu)
Ning'ate shavu (mabusu)
Wakome wapambe (mabusu)
Na wapumbavu (mabusu)
Mhh nipe nikugonge (mabusu)
Ning'ate shavu (mabusu)
Wakome wapambe (mabusu)
Na wapumbavu (mabusu)
Eeeeeh eeeeh (mabusu)
Mabusu