
Mshahara Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Mshahara - Young DareSalama
...
choLee Goo ..Dream city .. Lufaaa Gee Paka eeeeh mshahara mshahara wanepishana na gari la mshahara mshahara mshaharaa wamepishana na Gari la mshaharaa aaah walisema akuna vibe ila sasa mbona shangwe wamepishana na gari la mshaharaa ahh walisema akuna vibe ila sasa mbona shangwe wamepishana na gari la mshaharaa waliona akuna pic wameondoka mbona pambee wamepishana na gari la mshaharaa ile wanatoka getini masha kaingiza fuso wamepishana na gari la mshaharaa Ety kumepoa akuna umeme ile kuondoa tuu huooo wamepishana na gari la mshaharaa chorus
Aah siwalitudharau wamepishana na gari la mshaharaa basi okyyy.. Tuna wa bluetick wamepishana na gari la mshaharaa aah jiah aah jiah walitaka attention watimbie mida ya wanga ila wakakuta si tushahama kiwanjaa pole sana wale wAlo ninyima namba habari naona nadhani mnaona Navo tamba wamepishana na gari la mshaharaa Nataka kutoa ofa Ety kila mtu kivyakee wamepishana na gari la mshahara aah jiah aah jiah wanemtenga chawa mala kaangiza hennesy hiiii..wamepishana na gari la mshaharaa nilisha waambia acheni madharau wamepishana na gari la mshahara Ety kumepoa akuna umeme kuondoka Tu uWoo wamepishana na gari la mshaharaa chorus aah siwalitudharau wamepishana na gari la mshaharaa bac Oky Tuna wa Bluetick wamepishana na gari la mshaharaa ...