
Noma kweli Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2018
Lyrics
Noma kweli - Young DareSalama
...
Young Daresalama
Kuliko unipende, alafu kesho ukanichukia
Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia
Najua mengi umeshasikia na uwongo pia
ila sijali sasa hivi
Nachotaka ni kuskia ukisema
Heee... Sema sema hee.. yeah
Sema heee... sema hee!
Let’s go to the....
sema sema sema
Hee! Hee! Hee! Heee!
Siku nzuri asubuhi kumekucha
Ndo nakumbuka kwamba leo na-** kitanuka
Beiby nae kachacharuka
Kakuta text za madem wanataka kuinuka
Home kikanuka suu
Nisisindwe ku solvu
Nikakumbuka tu kusema am sorry
Nikamvuta njoo , hapo nabukta soo
Kutoka nnje ka nimeshikwa ukooni
Heee... Heee!
Noma Kweli
Heee... Heee!
Let’s go, twende
Hee! Hee! Hee! Heee!
Hee! Hee! Hee! Heee!
Tumekaa siku ya pili
Baada ya moja mbili
Nikaona dalili
Tutaanza kimwili
Sikusubiri nikaona bora kujitenga
Uoga nao akili
Nikaona bora kujitenga
MARA hiki, mara kile
mara kiki, mara zile
Za kufanya mimi nisile
Niko hivi kisa ni wewee
Aaah! Sio kifo mpaka milele
Niko na wewe
kuliko unipende, after show ukanichukia
Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia
Najua mengi umesikia na uwongo pia
Ila sai nachotaka ni kuskia ukisema
Eeeehhh… sema sema
Noma kweli
Eeeehhh… sema ... eeh!
Let’s go to the... twende
(hee! hee! Hee! Hee!
Tony Drizzy…
Touchsound