
NIMEACHWA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
NIMEACHWA - Young DareSalama
...
Usione nipo bar ukahis nakula bata leo na mazonge kibao. Nishadata leta pombe mezani weka bapa acha niwake adi niwe nyakanyaka uliuliza nimeachwa nimeachawa nimeachwa mwenzenu nimeachwa2. mbaya zaidi kwel nilimpenda check mnavyokonda yeye ananenepa mbaya zaidi sijui nilicho tenda