Gari Yangu Remix ft. Abbah. Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Gari Yangu Remix ft. Abbah. - Young DareSalama
...
we unaita BMW me naita bima wewe ukipanda funga mkanda alf anza kuvimba wewe kama mbele snichs wanaona gere kwanza sheli full time leo ni siku ya misele kimya kimya.......jicho nyanya hunion mpk nikishuka billnas kaliomba kwenye kichupa gar yenyewe ndo mpya sijui ka ntaeza mpa Huna ndinga alf unavimba ni ukatuni demu wa kwanza kuniumiza aling'olewa kwa baluni sikuamini mapicha picha kama muv ndo akafanya nijue plan b ya mapenzi ni sabuni police akisimamisha wala hataki leseni ananipa Salam na pole kwa foleni sio kinyonge ma bling ma vyeni vyeni young dar es salama kwel kwel
ukiona gar kali hujawai kuiona basi ujue hii ndo gari yangu yenye mziki mkali ikipita utaguna base lake hii ndo gar yangu nasema ohee aa gar yangu×4
we unaita voge swagen me naita vimba wewe ukipanda funga mkanda alf anza kuringa wewe spid ya mwewe na nafika hapo mbele tu sio icon dar nzima iko yenyewe tu sio ya mkopo sio ya baba ni ya kwangu Acha waseme nanyodo bro nimeipata kwa tabu masnich wanatia adabu wakiona naingia club jinsi imetulia parking bas inavutia ajabu yeeeah bei ya rims tu unanunua vits sa nikikupa bei ya mziki utaniona chiz police akisimamisha anaomba adi kupiga picha piga picha baba uwende ukavimbe insta geji haishuki vioo juu hamna kupanda mamluki ni watu poa poa tu aah uswaz haunikut staki roho juu wasije kukwangua rangi hawajui bei juu