
Mama Kija
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mama Kija - Tunda Man
...
Kweli mapenzi matamu lakini naugua ah Mbona unanipa wazimu kunisumbua Si ulinituma sambusa na vile vibagia Ch ajabu ukasusa na ukanitupia ah Mama kijacho unavisa mi mwenyewe sielewi kwa nini? Nikiwa sipo unacheka nikirudi unaninua mimi Nataka supu ya ngamia nitaipataje eh? Nikiikosa we unaumia nitafanyaje? Nikweli ulinituma udongo na mimi nkakosa ah Ukaniletea londo na ndani nikawekwa Nikweli ulinituma udongo na mimi nkakosa ah Ukaniletea londo na ndani nikawekwa Oh mawe kija mama mbona unanivuruga Yani vururu vururu mbona unanivuruga Oh mawe kija mama mbona unanikoroga Yani koraga koroga mbona unani- Mama kija mama mwenzako na busara sana Lakini nachoka na visa unavyonifanyiaga mama Ah mama kija mama mbona unanikoroga Yani koraga koroga mbona unanikoroga Hata kama kosa hakuna unaleta zogo Yani nyumbani amani hakuna umekuwa mbogo Usiku unataka nikupepee Feni si lipo lakini lazima mwenzangu unitese loh Usiku unataka nikupepee Feni si lipo lakini lazima mwenzangu unitese Ila doh salale unafanya nisilale Mwenzako nakonda na penzi la sasa na si penzi la muda ule Ila doh salale unafanya nisilale Mwenzako nakonda na penzi la sasa na si penzi la muda ule Nyumbani daily makelele Mapenzi hakuna kama yale Mawazo mengi unanipa wewe Mpenzi unafanya nisilale Nyumbani daily makelele Mapenzi hakuna kama yale Mawazo mengi unanipa wewe Mpenzi unafanya nisilale Oh mawe kija mama mbona unanivuruga Yani vururu vururu mbona unanivuruga Oh mawe kija mama mbona unanikoroga Yani koraga koroga mbona unani- Mama kija mama mwenzako na busara sana Lakini nachoka na visa unavyonifanyiaga mama Mama oh, oh kija mama mbona unanikoroga Yani koraga koroga mbona unanikoroga Analalamika kichefuchefu anataka embe tena ng'ong'wa Umekuja na nyundo unitoe jino eti baby unapendeza mapengo yoh Kochi lipo lakini unataka kupakatwa Umetoa mpya umekumbuka shule na unatamani kuchapwa Oh mawe kija mama mbona unanivuruga Yani vururu vururu mbona unanivuruga Oh mawe kija mama mbona unanikoroga Yani koraga koroga mbona unanikoroga Unatakaje vururu vururu (mbona unanivuruga) Unasemaje mbona kororo kororo (mbona unanikoroga) Unatakaje vururu vururu (mbona unanivuruga) Unasemaje mbona vururi vururu (mbona unanivuruga) Eti unataka ghorofa umechoka nyumba za chini eh Eti n'nunue Verosa twende nayo bwini Baby unaniboa, Chambuso umemkoroga Babu tale umemboa, Baba Ubaya umemkoroga Fellaa umemboa, Baba Saddy umemkoroga Jack umeme umemboa, Abdul Mwinyi umemkoroga Nasababu umemboa, Chifu kiumbe umemkoroga
Similar Songs
More from Tunda Man
Listen to Tunda Man Mama Kija MP3 song. Mama Kija song from album Mama Kija is released in 2017. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Tunda Man.
Related Tags: Mama Kija, Mama Kija song, Mama Kija MP3 song, Mama Kija MP3, download Mama Kija song, Mama Kija song, Mama Kija Mama Kija song, Mama Kija song by Tunda Man, Mama Kija song download, download Mama Kija MP3 song