
NAOA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
NAOA - Young DareSalama
...
Dream city
here's another one
makoo you're killing them
touch
heheheeheeeee
mama Leo naoa (oae)
huoniii usoonii nlivojawa na furaha
sioni wala alienunaa
nimesaliti chama la mabachelaa
wanangu am sorry
zitapungua rooti za maskanii
wanangu am sorry
kukesha baa ndo basi
sitaki Teena sitaki Teena
makurumbembeee
sitaki Teena sitaki Teena
vicheche watoto watamu
sitaki Teena sitaki Teena
makurumbembeee
sitaki Teena sitaki Teena
mama Leo naoa(oae)*4