
Peleka Habari ft. Billnass. Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Peleka Habari ft. Billnass. - Young DareSalama
...
NimeChill Nafurahaa...Najionaa Bongo Bahatii Mbayaa..KiutaniUtanii NawaBambaa Ilee Mbayaa..Ninavochanaa Ninapetaa Hadii Ulayaa..Madem Sio Wachoyo Watakupaa Hadii Mnywayaa..Siogopii Kuongelewaa..mshamsemaa Dadanguu Na Kaolewaa...So Put Your Hands Up In The Air..Tokaa tichaa Kuna Wengii Washapoteaa...Ila Me Bado Nipoo...Wananiitaa Mzee Wa Kuvunjaa Mwikoo..Na Hii Bilaa Matandikoo..Its HomeBouy Mafurikoo...Walaa Si Hatujalii..Kamaa Umeskiaa Pelekaa Habarii(Rastar)Maanaa Si Hatujalii...Tokaa Bomaa La Utetee Hatujalii
Niashai kata tamaa nikaona labda nizikwe
Nastaki mazowea masnich Nikifa msinizike
Hamuwezi kuwa mimi, labda me nife
Dbrill sisi chafu pozi sio pozi zenu zakikekike