
Ukizaliwa ft. Banana Zorro
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Ukizaliwa ft. Banana Zorro - Stamina (TZ)
...
Najua husikii ninayokwambia
Ila ukizaliwa nitarudia
Naomba uyatii ninatokwambia
Maana yadunia yanavutia
Kwahiyo ukizaliwa mama, ukizaliwa mamax2
Mama yako aliposema anamimba aliniboa, sikuwaza chochote zaidi yakumwambia toa.
Nisamehe maana kama nilipagawa, nilijiuliza tu hitakuwaje na kiuchumi sipo sawa.
Kumbe mungu, amekuleta kama baraka,hata ningekuwa ibrahim nisingekuta kama issiaka.
Acha na mimi mshukulu sana mama yako, kukubeba meizi 9 ningewezaje mimi baba yako.
Ukizaliwa kidume jua umeumbiwa mateso, utatimuliwa vumbi na husipewe hata leso, kuna muda wa dhiki kuna muda wa raha unaweza ukalala njaa na jirani akalala bar.
see lyrics >>Similar Songs
More from Stamina Shorwebwenzi
Listen to Stamina Shorwebwenzi Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3 song. Ukizaliwa ft. Banana Zorro song from album Love Bite is released in 2022. The duration of song is 00:04:51. The song is sung by Stamina Shorwebwenzi.
Related Tags: Ukizaliwa ft. Banana Zorro, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3 song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3, download Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Love Bite Ukizaliwa ft. Banana Zorro song, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song by Stamina Shorwebwenzi, Ukizaliwa ft. Banana Zorro song download, download Ukizaliwa ft. Banana Zorro MP3 song
Comments (45)
New Comments(45)
Simon mutisoixy1a
[0x1f637]
Avitus Sylvester 6xp01
Ofcourse you made it, the girls may learn from this song
Pius_tz
@stamina.... tunataka ngoma na Roma Nyingine
Pius_tz
mke wangu mimba imetoka ila nilimwambia toa... daaaah hii nyimbo inanipa wakat mgumu na inanifanya nakusikiliza masaaa 24
Anthony Sinda
nzur sna
khamzax39ql
ukivunja ungo uciwape wapetee mchele,. ah ii cio pe
ERNEST MSHOKELA
nakubali sana [0x1f630][0x1f613]
Mizoh 4uh1o
[0x1f630]
kinashi
icon stamina achana na msaliti roma
Witness omari kasanje
[0x1f641]
Ilumban42y7
Banana zoro saluti
love from Kenya