Nimeachwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nimeachwa - Young DareSalama
...
Dream city
Dressss dresss!!!!!
Usione niko bar
Ukahisi nakula hata
Leo na mazonge kibao
Nimesha data
Leta pombe
MEzanii weka bapaa
acha nilewe mpaka
Nice nyaka nyaka
Ukiulizaa nmeachwA
NmeachwA
Nmeachwa
Mwenzenu nmeachwa
NmeachwA
Mwenzenu nmeachwa
Nmeachwa
Nmeachwa
Mbaya zaidi
Kweli nilimpendaa
Cheki navyokonda
Yeye ananenepa
Mbaya zaidi sjui nilicho
Tenda hadi umeamua kwenda
Yeaaaa!!!!!
UmeniChaaa na mawazoo
Mi nabaki na mawazo
UmeniChaaa na mawazoo
Mi nabaki na mawazo
niko bar
Ukahisi nakula hata
Leo na mazonge kibao
Nimesha data
Leta pombe
MEzanii weka bapaa
acha nilewe mpaka
Nice nyaka nyaka
Ukiulizaa nmeachwA
NmeachwA
Nmeachwa
Mwenzenu nmeachwa
NmeachwA
Mwenzenu nmeachwa
Nmeachwa
Nmeachwa
Ishu ilikua pesa
Nikatafuta pesa
Sa nmepata pesa
Kani acha na veshaa
Kaniacha na preshaa
Kafanya nakesha
Nmebaki na mawazo
Nakunywa kila alcohol
Siwezi vumiluaa
Nmebaki na mawazo
Nakunywa kila alcohOl
Usione niko bar
Ukahisi nakula hata
Leo na mazonge kibao
Nimesha data
Leta pombe
MEzanii weka bapaa
acha niwake mpaka
Niwe nyaka nyaka
Ukiulizaa nmeachwA
NmeachwA
Nmeachwa
Mwenzenu nmeachwa
NmeachwA
Mwenzenu nmeachwa
Nmeachwa
Nmeachwa
Hee
Hee
Hee
Hee
Heee
Hee
Hee
Eee
Heee!!!!!!!
Nmeachwa
Nmeachwa
Nmeachwa
Mwenzenu Nmeachwa
Nmeachwa sjui Kwa nn
Nmeachwaa
Nmeachwa
Usione niko bar
Ukahisi nakula hata
Leo na mazonge kibao
Nimesha data
Leta pombe
MEzanii weka bapaa
acha niwake mpaka
Niwe nyaka nyaka
Ukiulizaa nmeachwA
NmeachwA
Nmeachwa
Mwenzenu nmeachwa
NmeachwA
Mwenzenu nmeachwa
Nmeachwa
Nmeachwa