Basupa ft. Dj Ally B Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Basupa ft. Dj Ally B - Young DareSalama
...
Basupa x 4
Naona wanakimbia lipa, bili
Leta kwa basupa tajiri
Afu ongeza chupa kama mbili
Sifa nimenyimwa ubahiri,
Unazuga hunioni, huna kitu unamvimbia doni (Basupa)
Si tupo mpaka morning, afu hii ndio kwanza jionii (Basupa)
Chikichii chikichii (Basupa)
chikichiii chikichii chikichiiii (Basupa) x2
Arabic singing
Nisifie nikutunze sina dogo mi ndio wakuitwaga (Basupa)
Hapa vyote ni bure sina baya mwenyewe utajiongezaga (Basupa)
Mpaka kukuchee hakuna mtu kusepaga (Basupa)
Labda watufukuzee ila pesa hapa kuishaga? (Basupa)

Arab singing