
Lissa 2
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Lissa 2 - Rapcha
...
Eugen sogea karibu kidogo
Kabla sijakata pumzi ya mwisho tuongee japo kidogo
Enjoy kila siku iendayo kwa Mungu
Kwenye maisha ya mwanadamu siku za furaha huwa ni ndogo
sijapanga kumkufuru muumba
Ila kwa leo tu ningemuomba arudishe tu masaa nyuma Haya mateso nnayopata kwenye hiki kitanda
damu yangu itamlilia Lissa haitokaa kimya
mwambie asichelewe nitamsubiri paradiso
Kama nitapona Basi sitomsahau mpaka kifo
Kumbukumbu zitamfata kila unyayo amekatiza ndoto yangu kubwa nlionayo
see lyrics >>Similar Songs
More from Rapcha
Listen to Rapcha Lissa 2 MP3 song. Lissa 2 song from album Wanangu 99 is released in 2021. The duration of song is 00:04:21. The song is sung by Rapcha.
Related Tags: Lissa 2, Lissa 2 song, Lissa 2 MP3 song, Lissa 2 MP3, download Lissa 2 song, Lissa 2 song, Wanangu 99 Lissa 2 song, Lissa 2 song by Rapcha, Lissa 2 song download, download Lissa 2 MP3 song
Comments (94)
New Comments(94)
Sharifa Rashid34na1
brjr
lissa jau kaka
Pino_tz1
Ugumu wa pesa ndo umenifany nisije home kila mala[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x2600][0x26a1][0x26a1][0x1f612][0x1f612]
Emmanuelyhlesr
nakubar san
Jeromekiknb
[0x1f63f]

HAMZAJUMAA15
[0x1f63f]
Ramadhani Rashidwrmi7
hii gm inantoaga xn[0x1f653][0x1f653][0x1f653]
MARY EDWARDrdh1h
nakubar
johsoni silayodjh6x
mwambie ukweli ajue ndohuwanahum rapcha tuwazoe 2
mnigar
[0x1f63f][0x1f63f]
HawaMamy
Qali❤️
148627806
noma sana [0x1f625][0x1f607][0x1f607]
[0x1f618][0x1f618][0x1f623]