
Mbutika ft. S2kizzy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mbutika ft. S2kizzy - Young Dee (TZ)
...
S2kizzy baby
hi hi hi hii
pakaa
[Verse1]
anhaa
Wakati mnapendana ilikua kalee
Ilikua safi mkiongozana mmegonga saree
Sahivi noma mnadundana hadi kwenye starehe
Mwisho wa siku asiye na kitu ndo atasema nsamehe
Macho kwa pesa tu moyo una ganzi
Atakupa presha uje kufa kidwanzi
Huna pesa huna hadhi
Acha na mapenzi hebu tafuta kazi (rrrrrrrr)
Chako ni chenu ila chake ni chake
Siyo kwako siyo kwenu hapo kwako ni kwake
Eti unabwagwa bora akae na wenzake
Naye unaemwita shem nasikia ni bwana ake
[Chorus, S2kizzy]
Wewe unajiona umefika (heeee)
Ye anakuona mbutika (awoooo)
Wewe unajiona umefika (heeee)
Ye anakuona mbutika (awoooo)
Mbutika eeh mbutika (mbutikaa)
mbutika woo mbutika (mbutikaa)
mbutika eeeh mbutika (mbutika)
mbutika rrrrrr (alaalooo)
mbutika eeh mbutika mbutika
mbutika eeh mbutika mbutika
mbutika eehe mbutika (katikakatika eeh)rrrr
yooh mbutika eeh mbutika rrrrh (mbutika)
maa (mbutika) eeh mpupu mbumbuu mbutika eeh (mbutika)
yeah (mbutika) (eeh) mbutika rrrrraah
[verse2 YoungDee]
Yeah hakuna hakuna mjanja wa mapenzi (hoooo)
Haruna,fatuma huyoo humuwezi(rrrrrrr)
Sababu pesa huna ndomana anakuona ndezii (zzzzzzii)
Bora kuuchuna(hee) ukisikia sikuhizi yuko na devi(dedede)
Acha ujinga urudi nyumbani
Usiwe ka mbutika yule wa gig money
Kama amekushinda tabia usipanic
Chunga asije kupa kesi ya mauji (rrrrrrraah)
Kutwa unalia umekua vipi (eeh)
Nasikia hujakula sahi imepita wiki
Stress stress unakua chizi
Ushahonga kila kitu utampa nini!?
Yeah,najua unajiona umefika (eeeh)
Mwenzio anakuona mbutika (mbu mbu mbu)
Visa tu kila kukicha
Ashapiga simu akute home umepika brooo
[Chorus:S2kizzy]
Wewe unajiona umefika (heeee)
Ye anakuona mbutika (awoooo)
Wewe unajiona umefika (heeee)
Ye anakuona mbutika (awoooo)
Mbutika eeh mbutika (mbutikaa)
mbutika woo mbutika (mbutikaa)
mbutika eeeh mbutika (mbutika)
mbutika rrrrrr (alaalooo)
mbutika eeh mbutika mbutika
mbutika eeh mbutika mbutika
mbutika eehe mbutika (katikakatika eeh)rrrr
yooh mbutika eeh mbutika rrrrh (mbutika)
maa (mbutika) eeh mpupu mbumbuu mbutika eeh (mbutika)
yeah (mbutika) (eeh) yeah (mbutika) rrrrraah
s2kizzy baby