Outro Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Outro - Young DareSalama
...
Hihihhihihihihi. Yeah yeah Daresalaam daresalaam. Niko na jiiini. Touch touch. Nimewatisha tu wameacha kurap saivi wanasali. Eti baba tusamehe. Nimeshiga hatuwa siwezi kushinda tu maskani hi nafasi ziichezei. Kila nikitaka kuwa single tu napataga dem me nlitaka kuwa simple tu nkapataga fame. Sometime naenda chimbo tu ila bado natrend. Bila single mikesha kila weekend. Basi wana hate me uku na make ukinitukana sisomi comment. We tukana kauze gazeti ila tukikutana mbona utajibu kesi. Jini ongeza sauti young dee is in the house. Si analeta jau huyu mtoe out. Unataka show na na nyau basi ongeza dau na hamna kusahau usione na dharau. Basi wanahate me uku na make ukintukana siosomi comment. We tukana kauze gazeti ila tukikutana mbona utajibu kesi. Basi wanahate oooooh watu wana hate ooohx2 watu wana hatex6. Si tuna bang ooooh si tuna bang ooooohx2 si tuna bang5. Si tuuuuna. By Yundenovest msomaliah.