Mama ft. Mr. Simon Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mama ft. Mr. Simon - Young Dee (TZ)
...
Young dee- mama
Dream city.....
Nilipokuomba kumi,ukanipa Mia,
Nilipokosea ukanisaidia,
Mama, mamah
Aaaah!!
Bega kwa bega nami, (mamah)
Nadeka kwa nani, (Mamah)
Mwenye huruma nani,(Mamah)
Hakuna kama nani, (Mamah)
Aaaah!!
Mama yangu mama, mama yako mama,
Mama yetu mama, mama wa wote Mama,
Mama yangu mama (Mamah)
Mama yako mama (Mamah)
Mama yetu mama (Mamah)
Mama wa wote mamah
Mamama
Mamama
Nakupenda mama,
Mamama
Mamama
Nakupenda mama..... (so much)
Imagine taking your mama to dinner or lunch or anything like that,
Buy her anything she wants, like it’s her birthday
Aaaah!!
Yeah!
Siwezi kusahau siku unataka sign,
Dili ya kwanz hiyo ilikuwa zaman,(haaah)
Kwa dully au fopo kanisani,
Maan kwa umri wangu haiwezekan,(kusain)
Ukaja ukamwaga winoh,mama ukanibless,
Dully akanipa jina, (yeah Young dee),
Siku napiga show,
Mara ukaja stage kafunika show nzima (Eeeh)
Mama yangu mama, mama yako mama,
Mama yetu mama, mama wa wote mama,
Mama yangu mama (Mamah)
Mama yako mama (Mamah)
Mama yetu mama (Mamah)
Mama wa wote mama
Mamama
Mamama
Nakupenda mamah,
Mamama
Mamama
Nakupenda mama......
Maaamaaah
(Music)