Bongo Bahati Mbaya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Bongo Bahati Mbaya - Young DareSalama
...
is the another one....
woooh
yeeah
TOUCH
tupo bongo bahati mbaya tu
karibu ulaya tu×10
yeah
maisha ndo haya hay
sa ndaenda wap
bong bahat mbay Hollywood yet masaki
usishangae natamba araf ww unachambi
mm mwembamba ila napiga show za kitamb
bongo bahat mbaya×3
karibu ulaya
bongo bahat mbaya×3
karibu ulaya
tupo bongo bahat mbay tuu
karibu ulaya×10
wanaogopa kusema hii ngoma mbele
ila hap ndo nyumban napiga misele
wanaogopa kusepa bye na kwele
ila hap nyumban siogop makele
arafu
mm ni mnyamwezi nliepotez passport
nip bong bahati mbaya unyamwez sio wa kuforce
ukinion kam toz nigus nij na kikos
nimepig pamb araf ukichek sio za kukod
iiiiiiih!
yeeeeah
bongo bahati mbay×3
karib ulaya
bong bahat mbay×3
karibu ulay
tupo bongo bahati mbaya
karibu ulaya×10
yeeeeah
woooh
haijalish np wap lazim niko HAPPY
ata nkiw mwenyw au nk na washkaji
haijalish nip wap lazm niw msafi
nik bongo bahat mbaya ndoivy ntakwen wap ×2
yeah
tupo bongo bahat mbaya tu
karibu ulaya
tup bong baht mbay tu
karib ulaya
tupo bong bahat mbaya tu
karibu ulaya
tupo bongo bahati mbaya tu
karibu ulaya
yeeeeah
tupo bong bahat mbay tu
karibu ulaya
#w ndo mr. t touch
ww ndo producer wang mkali eeeh
iv ww ni producer au jini
aaaaaaaah
iiiih
TOUCH SOUND
@mfungwa_586