![Kitu Kizito ft. Kontawa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/14/ce5b6800172348d2ad851eab4da5b2bb_464_464.jpg)
Kitu Kizito ft. Kontawa Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Kitu Kizito ft. Kontawa - Haitham Kim
...
.........
aaaaaah (kitu kizito)
........
esho boy jako(kitu kizito)
.......
kitu kizito×2
show Kali haiendi bila stimu,
nivutie mbele tungi upande wazimu,
mwili wangu leo ugeuze jimu,
ikaze shepu baba twanga kinu
chorus...
angusha baba baba(kitu kizito)
ya motomoto leta (kitu kizito)
kushoto kulia kata (kitu kizito)
ayayayaaaah (kitu kizito)
midadi ishanipanda baba (kitu kizito)
angusha unapotaka weka (kitu kizito)
isweke unapotaka sweka (kitu kizito)
ayayayaaaah (kitu kizito)
verse...
misamba baba nakupigia yote
unyevu wa kumwagilia mboga
sukari ya bi zuchu inangoja
yangu ina TV fanya unga tu dikoda
ahuuuu
nikunje baba jinafasi
ahuuuu
nipige roba ambakati
ahuuuu
ukisikia milio baba ongeza kasi
ahuuuu
Waite majirani waulize msiba wapi
chorus...
angusha baba baba (kitu kizito)
ya motomoto leta (kitu kizito)
kushoto kulia kata (kitu kizito)
ayayayaaaah (kitu kizito)
midadi ishanipanda baba (kitu kizito)
angusha unapotaka weka (kitu kizito)
isweke unapotaka sweka (kitu kizito)
ayayayaaaah (kitu kizito)
.................
verse 2
eeeh,uhuuu,heheheh
okay,mama mama mama mama Niko vizuri
kwanza sifiki kileleni Mana sina nauli
simnanijua vizuri nikiliazisha shughuli
ukifa kifo cha mende me nakuchimbia kaburi
eeheeee
asa we mama sita punguzaga kunitega
maan huku chini ninakichwa hakina mabega
naskia uteja mama naskia uteja
leo ninakitu kizito vp utaweza kubeba
ahuuuu
nikunje baba jinafasi
ahuuuu
nipige roba ambakati
ahuuuu
ukisikia milio baba ongeza kasi
ahuuuu
Waite majirani waulize msiba wapi
chorus....
angusha baba baba (kitu kizito)
ya motomoto leta (kitu kizito)
kushoto kulia kata (kitu kizito)
ayayayaaaah (kitu kizito)
midadi ishanipanda baba (kitu kizito)
angusha unapotaka weka (kitu kizito)
isweke unapotaka sweka (kitu kizito)
ayayayaaaah (kitu kizito)
..................