Kokoko ft. Mapanch Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kokoko ft. Mapanch - Haitham Kim (TZ)
...
Nikuinulie kokoko
Nikunyongee msokoto
Joto tuogee utokoto
Njoo unipe joto
Baridi usiku nateseka baby
Natetema baby
Penzi lako moto
Usiniache kwenye shimo baby
Usinikatae baby
Ulipo mi nipo yaani
Jino kwa jino hunnie
Sebuleni kwa uani
Nipo nawe bampani
Mi kwako baby sio mpitaji
Ukiwa mbali beki hazikabi
Unanifanya mi nahaha
Kwa penzi lako mi nahahaha
Sina utani mwenzako nimebania
Kwani huoni hizi zangu hisia
Nikuinulie kokoko
Nikunyongee msokoto
Taumia na mkokoko
Joto tuogee utokoto
Baby unishushie kimoko
Nikupatie katoto
Kwenye baridi weka joto
Yaani mambo iko moto
Mi kwako bubu utakacho we ni sawa
Unifanye zuzu uteke na himaya
Usilete no na kunidharau
Navyochakarika uone
Mwingine afiche nani? Yeah yeah
Eeh kama mboga imekolea tui
Ugali dona dona
Sterling nishafa kwa adui
Sijapona pona
Mi kwako baby sio mpitaji
Ukiwa mbali beki hazikabi
Unanifanya mi nahaha
Kwa penzi lako mi nahahaha
Sina utani mwenzako nimebania
Kwani huoni hizi zangu hisia
Nikuinulie kokoko
Nikunyongee msokoto
Taumia na mkokoko
Joto tuogee utokoto
Baby unishushie kimoko
Nikupatie katoto
Kwenye baridi weka joto
Yaani mambo iko moto