
Siwezi
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
Kumbe kuachwa inaumaga ivii
Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
Kumbe kuachwa ina umaga ivii
Umeniumbua bora niseme
Kiapo nilicho kula bora nikiteme
Mapenzi shikamo sirudii tena
Umepatwa na nini si useme
Kinachokufanya we uniteme
Mapenzi shikamo sirudiii tena
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
see lyrics >>Similar Songs
More from Nandy
Listen to Nandy Siwezi MP3 song. Siwezi song from album Siwezi is released in 2022. The duration of song is 00:03:04. The song is sung by Nandy.
Related Tags: Siwezi, Siwezi song, Siwezi MP3 song, Siwezi MP3, download Siwezi song, Siwezi song, Siwezi Siwezi song, Siwezi song by Nandy, Siwezi song download, download Siwezi MP3 song
Comments (356)
Top Comments (1)
faizafvocc
New Comments(356)
Geofrey Andolik5qx1
kumbe kuachwa inauma ivi ivi[0x1f653][0x1f653] heatbreak after heartbreak
fheze nick
[0x1f653]
Jamali Mtulya
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
181241462
good job
E town finnest
naifeel tw
171416403
nisikiza nikiwa , kwa heartbreak [0x1f653][0x1f653][0x1f653]
lullyucbu5
Mapenzi shikamoo,sirudii tena[0x1f614]
Keira89
❤️❤️❤️❤️
Dulla Yahaya
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
Isaacgep9t
lite
Denisi Dezder
unym
Busazmusic
i like this song
Nandy you are always FIRE>