![Bandua ft. Abdukiba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/11/674fa1ef495a47329bc3310651103084_464_464.jpg)
Bandua ft. Abdukiba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Bandua ft. Abdukiba - Haitham Kim
...
(Beat)....
Haithamkim
Kina Kirefu Ndo Nishazama
Mwenzenu Kutoka Ndo UTATA eeh Ndo UTATA
Ubongo Kichwani Ashazaganya
Kila Usemacho Nafata eeh (Nafuata)
Baby Na feel Kunoga
U dambu dambu Napendaga
Akili Ushaikoroga
Uzandu Zandu Pizza Bugger
Yaani So Fire
Nikikosa Alosto Nakutaja Aiyaa
Yaani Go Gaga Ushanitandika Beto Nakufaga..
Yaani So Fire
Nikikosa Alosto Nakutaja Aiyaa
Yaani Go Gaga Ushanitandika Beto Nakufaga..
Bandika Bandua
aaaanha (abdukiba)
Nipe nipe Nipe Ninogewe
Funika Funua
Nipe Nipe Nipe Usichelewe
Bandika Bandua
aaaanha (abdukiba)
Nipe nipe Nipe Ninogewe
Funika Funua
Nipe Nipe nipe Usichelewe
beat
(abdukiba)
iiiiih iiih iiih
Ulini Bless ,Ukaniweka Mbali na Mabosi
Nikavimba Kwa Wako Ma shosti ukiwa Mbali Nami Itani cost oooh My Weeeh.
oooh nana naaaah
Ukinipa Nami Nitakupatia
Kidudu Mapenzi NITAKUGANDIA
Wewe Kwangu Zaidi Ya Peace Nahofia oooh my Weeeh eeeh eeh
Ukinipa Nami Nitakupatia
Kidudu Mapenzi NITAKUGANDIA
Wewe Kwangu Zaidi Ya Peace Nahofia oooh my Weeeh eeeh eeh
Unani Control Control
Unani Control Control
Yeeeh Yeeh
Yaani So Fire
Nikikosa Alosto Nakutaja
Yaani Go Gaga
Ushanitandika Beto Nakufaga
(haithamkim)
Yaani So Fire
Nikikosa Alosto Nakutaja
Yaani Go Gaga
Ushanitandika Beto Nakufaga
Bandika Bandua
aaaanha (abdukiba)
Nipe nipe Nipe Ninogewe
Funika Funua
Nipe Nipe nipe Usichelewe
Bandika Bandua
aaaanha (abdukiba)
Nipe nipe Nipe Ninogewe
Funika Funua
Nipe Nipe nipe Usichelewe
BEAT.
BANDIKA BANDUA
FUNIKA FUNUA