![Utamu ft. Young Lunya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/22/f9fdcfbf528d4ad0b1910c9faf97835b.jpg)
Utamu ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Utamu ft. Young Lunya - Haitham Kim
...
Verse1: Haitam Kim
Tumeendana nyota
Visura vyetu kama mapacha
Ukingoni nishagota
Yani utamu kama bazooka
Navunja milango ya usaliti
Baby we unanitosha
Samaki mkunje angali mbiichi
Kwako sina nachokosa eeh
Penzi lako mneso nabembea ehh
Nisije nikapeto shakolea ehh
Ukiwaga ghetto nalegea ehh
Ukisema kesho nangojea ehh
Kwako kilema bila gongo sitembei
Kama ni la genge huwa ni bei
Mi kimya tena bubu siongei
Umenikata ngebe sinasei
Kama penzi lako ni maji ni maji
Basi leo mi ntaogelea
Kama penzi lako midadi midadi
Basi utamu mi ndo ushannogea
Ushannogeaa ushannogea(utam)
Ushankoleaa ushankoleaa(utam)
Ushannogea utam ushannogea(utam)
Ushankoleaa ushankoleaa(utam)
Utam....Utam..Utam....Utam
Verse 2: Young Lunya&Haitham Kim
Ohh My
Utam ushankoleaa ushankoleaa
Yeah
Wapi unataka nikupeleke sema (ehee)
Tena mahaba nakupa zote vyema (zigzigzig)
Kutwa unacheka hata nsipokutekenya
Unanipa nachosema ntake nini tena zaidi ya Utam
Mtu chake bwana mi napata utam
Kasura kako ka kitoto kamekaa utam
Sura ina haya imechanganyika na tabasam
Na hizi Corona ndani tunakula kwa Utam
Ni wazi nimekufa nimeozaa
Pongezi namtumia mama mzazi aliyekuzaa
Wakisema haupendezi haushindani kuvaa
Wana kitaani wanasema niko kwenye tufaa
Ndio ndio
Nisipokuona moyo unakwenda mbiombio
Tena moyo wangu uko peke yako ndio ndio
Maneno ya wanga fanya kuyazibia maskio
Watachana tu au sio wacha na hiyo kwio...
Kama penzi lako midadi midadi
Basi utamu mi ndo ushannogea
Ushannogeaa ushannogea(utam)
Ushankoleaa ushankoleaa(utam)
Ushannogea utam ushannogea(utam)
Ushankoleaa ushankoleaa(utam)
Utam....Utam..Utam....Utam ushankoleaa ushankolea
Maneno ya wanga fanya kuyazibia maskio
Watachana tu au sio wacha na hiyo kwio
Utam...Utam....Utam....