![Hakutaki ft. Sani Boy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/24/be698e484f94497a93159aae0b5fba77_464_464.jpg)
Hakutaki ft. Sani Boy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Hakutaki ft. Sani Boy - Haitham Kim
...
Hakutaki eeeh! iiiih! ondoka zako
Uuuh umeachwa hakutaki we nenda zako
Simu unapiga hapokei yupo busy
Unamwita hatokei yupo busy
Siku inaisha hamuongei husimuulizee
Ila kwenye mapenzi hakuna ubusy
Chakujisumbua sumbua we utajiua bure
Unampenda hakupendi hisia zipo kwa yule
Wanapika na kupakua walianza toka shule
Unabaki unacry don't Trust anybody
Basii hana mood hana time
Husimgas ye hana shida na wewe
Basii hana mood hana time
Husimgasi ye hana shida na wewe
Haa! hakutaki eeeh! iiiih! ondoka zako
Uuuh umeachwa hakutaki we nenda zako
Hakutaki eeeh! iiiih! ondoka zako
Uuuh umeachwa hakutaki we nenda zako
Mi mwenzako niliachika niliudhunika
Nikasema yote yadunia hayakai yanapita
Nguvu yakusaka pesa nikaongeza nikala nikapendeza
Nikasema no mara waa sina chakupoteza
Mi hanitish tish wala hanibabaishi
Eeh kunipenda hiyo vipi mi haniache sirudii matapishi
Kakupangusa (wachaaa)
We mpanguse (wacha weee)
Si kakususa husimtafute nawe msuse
Chik chik chik chiii chi chi chii
Mteme kama big g chi chini chi puuh
Chik chik chik chiii chi chi chii
Mteme kama big g chi chini chi puuh
Hakutaki eeeh! iiiih! ondoka zako
Uuuh umeachwa hakutaki we nenda zako