![I Wish](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/10/6e5a8d20d52d4a54866742dfcd3b3785_464_464.jpg)
I Wish Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
I Wish - Haitham Kim
...
I wish ungejua vile uko moyoni baby
I wish ungejua ninavyokupenda
I wish ungejua vile sioni sisikii
I wish ungejuaa ooh my love
We ndo pepo yangu (pepo)
Ndo kidani kwa shingo nikuvaee
We ndo tamu yangu nipo radhi mimi nizikwe nawee
Nawe ndo msiri wangu tena nje ndani unijuaee
Dunia ingekua yangu tungebaki wawili mi nawe
Aaaaah aaaaah aaaah nakupenda
Aaaaaah aaaaah aaah nakupendaa
Mi ndo mwenye mapenzi yako nipokee
Penzi furaha nichekee
Nikiteleza nisamehe oh my darling
Twalipigania penzi kidete
Sogea karibu tutete
We ndo chanda mi petee aaah oh jamani
Yako mahaba kama jini jini
Bila kitezo wa ubani napanda mimi
Unavyonichezesha makirikiri
Nabaki ooh jamani
Nawe ndo masiri wangu oh tena nje ndani unijuaee
Dunia ingekua yangu tungebaki wawili mi nawe
Aaaaah aaaaah aaaah nakupenda
Aaaaaah aaaaah aaah nakupendaa
Uuh yeee!
Wewe ni wangu ni wangu
Kwa mboni nakuona wewe tu
Wewe ni wangu ni wangu
I love you i love you baby
Wewe ni wangu ni wangu
Ata wakisema nini sikuachii
Wewe ni wangu ni wangu
I love you i love you ooh jamani
Aaaaah aaaaah aaaah nakupenda