Changanya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Changanya - Haitham Kim (TZ)
...
Nataka kukupenda aaaah
najua utaniamini
nawe ukinipenda aaah basi siwezi kana mi
Sina kitu darling yangu bajaji Sina hata dinka
ila nakupromise(promise)
(promise me)
nakesha Kama bundi tupate ngawira tuje kuvimba
wangu nakupromise(promise)
(promise me)
usijali wanaosema maneno tu we ndio baba la baba
mabazoka tunatema kwetu sebende tu usiku na mchana
usijali wanaosema aaah
Kama bazoka tunatema aaah aaah
oh baby
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
oh baby
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
we ndio shamba langu ninasubiri siku ya kuvuna
nishakwamini with my life I swear baby nakugunda
Kama kamba
penzi letu kama utani hadi sasa bado linadunda
siache mlango wazi maradhi kipenzi usije mwiba ukakuchoma
Mi ndio wako wa pekee achana na wengine wanakuhonga
usijali wanaosema maneno tuu we ndio baba la baba
mabazoka tunatema kwetu sebende tu usiku na mchana
usijali wanaosema aaah aah
Kama bazoka tunatema aaah aah
oh baby
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
oh baby
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
(unanichanganya changanya)
unanichanganya changanya
unanichangayaa
unanichanganyaaa aaaah
changanyaaa aaah
weh
unanichanganya