![I Wish (Acoustic)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/02/86a622dd5b4a40cbb105d0111add79cc_464_464.jpg)
I Wish (Acoustic) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
I Wish (Acoustic) - Haitham Kim
...
I wish ungejua vile uko moyoni baby
I wish ungejua nnavyo kupenda
I wish ungejua vile sioni sisikii
I wish ungejua aah ooh my love
We ndo pepo yangu (pepoo)
Ndo kidani kwa shingo nikuvae
We ndo tamu yangu
Nipo radhi mimi nizikwe na wewe
Nawe ndio msiri wangu (ooh)
Tena nnje ndani unijuae
Dunia ingekua yangu tungebaki wawili mimi na wewe
Mi ndo mwenye mapenzi yako nipoke
Penzi furaha nicheke
Nikiteleza nisamehe
Ooh my Darling
Nitalipigania penzi kidete
Sogea karibu tutete
We ndo Chanda mi pete aahaa
Uuh jamani
Yako mahaba kama jini jini
Bila kitezo wala ubani na panda mimi
Unavyo nichezesha makirikiri
Nabaki ooh jamani
Nawe ndio msiri wangu
Tena nnje ndani unijuae
Dunia ingekua yangu tungebaki wawili mimi na wewe