![Ukaniumiza Remix ft. Dayoo & Lody Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/28/fa7d65642f1149459dc9d2afb9082b74_464_464.jpg)
Ukaniumiza Remix ft. Dayoo & Lody Music Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Ukaniumiza Remix ft. Dayoo & Lody Music - Haitham Kim
...
——-Yeep seee ———
>>Naitwaa MANGIII
<DOKER ON THE BEATS >
— Olaaah a
~Kwanza nianze kusifiee,
Ohoo baby wee ohoo baby wee,
~Naulivyo sawa kama umejiumba mwenyewee ,
ehe umewazidii wenyeewee eh
~Kwanza hutoki bila sababu,
Unawapa taaabuuuu
~wanapenda kukuona ah wanapendaa kukuona agh...
# penziii ohooo penzii ah kipindi kipo hewani redio,
siweziii oh siwezii agh kukikosaa kosaah
Waridaah waridadiiih ,
ushanipaaa mi midadiii,
Penzii ngurumoo yaan radii iih
oyee yeeh yeeh aah ....
Panapoo kosaa basi ni jujiii ,
Manaa mlenda wake magadiii,
Naogopa kutapaaah kha mfaa majiii.
Ooh nanaah eeh
-> Basi usijee ukaniumizaaah ^unakaniumizah^
Ukaja nawee danganyikaaah ^danganyikaah^
->Basi usijee ukaniumizaaaaaah ^unakaniumizah^
Ukaja nawee danganyikaaah ^danganyikaah^
Lody music on this one ☝️
aaaah ah
~Nakiri kwenye moyo wewe pekeako ndo upo ndanii
~Na kama kuna matatizo nielekezee hatushindanii
~Si wanasema penzi jelaaah
Nipo radhi uniwekee ndanii
~Usije ukanipa likizo
kisa maneno ya majiranii
~Najuaa ulishatendwa huku nyumaa usikumbusheee utalia! Aha
~Kwanguu utapata mapenzii
Sijasomeaa ubondiaa
~Mwenzakoo sipendii kuona ukinunaah
Na ndio maan nakutaniaa!
~mmh kwangu mwendo wa makangee
Sikulishiii nguna bamia
Mmmh mmmh
Waridaah waridadiiih ,
ushanipaaa mi midadiii,
Penzii ngurumoo yaan radii iih
Aaaah aah....
Panapoo kosaaah basi ni jujiii ,
Manaa mlendaaah wake magadiii,
Naogopa kutapaaah kha mfaa majiii.
Aaaah aah....
-> Basi usijee ukaniumizaaah ^unakaniumizah^
Ukaja nawee danganyikaaah ^danganyikaah^
->Basi usijee ukaniumizaaaaaah ^unakaniumizah^
Ukaja nawee danganyikaaah ^danganyikaah^
Aaaah yayaah aaaaah yayaaah aaaah yayaaaah
Doker on the beat..