Ukaniumiza Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Ukaniumiza - Haitham Kim
...
gopa beat
(1)Sitaki mule kamuizi niwe kama jana
hisia za mapenzi nilizama nikaachwa
na maji
ooh baby baby baby ooh
ayaaaa ayaaa
baby ooh
sijiwezi mwenzio
aya... aya...
mwenZio
mwenye kijakazi kata ni kero zikifika basata ni sello umishanipa lambwata ni zero
(kichwani zero *2)
warida waridady .....
ushanipa mimi dady.....
penzi ngurumo yaani radi .......
panapokosa basi nicharge
maana mlenda wake magadi
naogopa kutapa kama famaji
(Basi usije ukaniumiza.........[ukaniumiza]
ukaja nawe danganyika ( danganyika ))*2
ayaaaaa ayaaaaa
ayaaaaa ayaaaaa
unabidi unipenyongeza
masidi moto koleza aaah
kwenye bediiiii nabembelezwa ayaaaaa
yaan wifiii inajiongezeza sifikilii kukupoteza remoti inajibonyeza ayaaa
kwako sisemi nooo usemacho mimi kwako nafuata nishajichimbia shimoni ijapo ni ngumu pumzi yangu kukata
(CHOURS)
warida waridadi penzi ngurumo yaani radi
panapokosa basi nichaji maana mlenda wake magadi naogopa kutapa kama famaji
basi usije ukaniumiza (ukaniumiza)
ukaja nawe danganyika (danganyika)
ayaaaaaa ayaaaaaa
ayaaaaaa ayaaaaaa
gopa beat........