![Kwakwaru](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/29/8644ea102eb846a3bd2653fd0aa2e5f4_464_464.jpg)
Kwakwaru Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Kwakwaru - Haitham Kim
...
Eeeh
Nazi raha yake kukunwa
Wakunaji mpoo?
(Mensen Selekta)
Mnataka kweli? (Tunaombaa)
Eeh ehe hee
Mtamwaga kweli? (Paka radhi)
Al habib
Wakikushinda kwa Church roga matunguli
(amsha popo)
Eti usawa manati kabana
(amsha popo)
Wanapenda kuvimba
Michupa kuwaka ming'aro kwa video
Martin Kandinda
Anataka mwali akizibe kikomeo
Mama kachiri saga
Jitege Kuku kataga
Mnato nato natana
Utamu wa Ndizi banana
Mama kachiri saga
(sagaa sagaa)
Jitege Kuku kataga
(tagaa taga)
Wayo
(Waiyoo Waiyoo)
Ng'ondo
(Mwaiona iyoo)
Wayo
(Waiyoo Waiyoo)
Ng'ondo
(Mwaiona iyoo)
Madanga tikisa titi
Wowo ni Mali yako
Nasema tikisa titi
Shimoni cheza mdako
Tikisa tikisa tikisa
Tikisa tikisa tuone
Tikisa tikisa tikisa
Tikisa tikisa tuoneee
Madanga tikisa titi
Wowo ni Mali yako
Nasema tikisa titi
Shimoni cheza mdako
Tikisa tikisa tikisa
Tikisa tikisa tuone
Tikisa tikisa tikisa
Tikisa tikisa tuoneee
Hee!
Piga kelele kwa Madanga yote mjini
(Weuweeee)
Mkwa Mkwa mkwakwaru
Mkwa mkwakwaru (tikisa)
Mkwa Mkwa mkwakwaru (tikisa)
Mkwa mkwakwaru (eeh)
Mkwa mkwakwaru kwakwaru
Kwaa mkwakwaru kwakwaru
Mkwakwaru kwakwaru
Kwaa mkwakwaru kwakwaru
Halloooooo
Uliona wapi wewe mzoga ukaachwa na dege
Hahaa we ulisikia wapi?
Usiogope kusemwa
Raha ya kwapa kutekenywa
Yani Rahaaaa
Mkwa Mkwa mkwakwaru
Mkwa mkwakwaru (tikisa)
Mkwa Mkwa mkwakwaru (tikisa)
Mkwa mkwakwaru (eeh)
Mkwa mkwakwaru kwakwaru
Kwaa mkwakwaru kwakwaru
Mkwakwaru kwakwaru
Kwaa mkwakwaru kwakwaru
Unajiita mdangaji wakati hujapitia hata kwa Don Dada
Piga kelele kwa Masha Love akeee