![Ex Mtamu ft. D Voice](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/ecdc9b5ffa4041589fcab3b66c6d3725_464_464.jpg)
Ex Mtamu ft. D Voice Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Ex Mtamu ft. D Voice - Haitham Kim
...
Mmmh Aaaanh Aaaanh Aaaagh halo halo mbona sikuelewi, mwenzako vocha nimekopa sa mbona huongei Ado Ado mbona sielewi, hata simu ikikata meseji huzioni. Dear ex naomba unielewe, nimejiunga bando nimekucheki mwenyewe, halafu si ushanijua na wewe Aaaagh nimekumisi nielewe