![Kitu Kizito ft. Kontawa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/12/10c51327fd0240d29aff03401b3775eb_464_464.jpg)
Kitu Kizito ft. Kontawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kitu Kizito ft. Kontawa - Haitham Kim
...
Kitu kizito
Kitu kizito
Kitu kizito
Kitu kizito
Show kali haiendi bila stim
Nivutie mbele tungi upande wazimu
Mwili wangu leo ugeuze gym
Nikazie pushap baba twanga kinu
Angusha baba baba ( kitu kizito)
Yamoto moto leta ( kitu kizito)
Kushoto kulia kata (kitu kizito)
Aya yaya yaya (kitu kizito)
Midadi ishanipanda baba (kitu kizito)
Angusha unapotaka weka (kitu kizito)
Isweke unapotaka sweka (kitu kizito)
Aya yaya yaya (kitu kizito)
Misamba baba nakupigia yope
Unyevu wakumwagilia mboga
Sukari ya bi zuchu inangoja
Yangu ina tv fanya unga tu dikoda (ahuu)
Nikunje baba jinafasi (ahuu)
Nipige roba ambakati (ahuu)
Ukisikia milio baba ongeza kasi (ahuu)
Niite majiran ulize msiba wapi
Angusha baba baba ( kitu kizito)
Yamoto moto leta ( kitu kizito)
Kushoto kulia kata (kitu kizito)
Aya yaya yaya (kitu kizito)
Midadi ishanipanda baba (kitu kizito)
Angusha unapotaka weka (kitu kizito)
Isweke unapotaka sweka (kitu kizito)
Aya yaya yaya (kitu kizito)
Mama mama mama mama niko vizuri
Kwanza sifiki kileleni mana sina nauli
Si unanijua vizuri nikilianzisha shughuli
Ukifa kifo cha mende mi nakuchimbia kaburi
Asa we mama sita punguzaga kunitege
Mana ukuchini nakichwa kina mabega
Nasikia uteja mama nasikia uteja
Leo nakitu kizito vipi utaweza kubeba (ahuu)
Nikunje baba jinafasi (ahuu)
Nipige roba ambakati (ahuu)
Ukisikia milio baba ongeza kasi (ahuu)
Niite majiran ulize msiba wapi
Angusha baba baba ( kitu kizito)
Yamoto moto leta ( kitu kizito)
Kushoto kulia kata (kitu kizito)
Aya yaya yaya (kitu kizito)
Midadi ishanipanda baba (kitu kizito)
Angusha unapotaka weka (kitu kizito)
Isweke unapotaka sweka (kitu kizito)
Aya yaya yaya (kitu kizito)