![Come Over](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/10/5accb5d4d0634998b1c298fa4ab6cc23_464_464.jpg)
Come Over Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Come Over - Haitham Kim
...
Aaaah
Huba uzani umenibebesha kiroba
Vuja pakacha wala sivungi tamutam
Utazika au unasafirisha mzogaa
Nini unataka mi kwako zuzu zobaa
Nikweleze si ndondo si chururu
We kifaranga husicheze nao kunguru
Moyoni mwangu husitoe ushuru
Njiwa salamu ziwafikie hao mbururu
Unaizunguka akili damu moyo mpka nafika
Penzi zito na si utani
Mi wako ya nini manati
Ooh call me sinyorita nitaitika
Mi hali duni nishapagawa
Kandege mbuni sina mabawa
Najabu ukinita sintosiba ee
Siwekiburi no no no
So come over ee
Mmh yee come over
Ziro distance na miss so baby boy Just come over
Eeh come over
Husipotee mbali nami so baby boy just come over
Husijifanye mbuzi na mkia mfupi penye tiwako dole
Ukiwapa mchuzi ukaleta makuzi kisha unipotee
Mwenzio kinda mteketeke
Ukala na kwenda wanicheke
Husije nitenda nivike pete
Forever milele
Maneno sumu ya penzi it's ok chonde tuyapuuze
Nikikosa tuongee tuyamalize
Mpaka tufikee uzee
Call me sinyorita ntaitika
Mi hali duni nishapagawa
Kandege mbuni sina mabawa
Na ajabu ulinita sintosita
Siwekiburi no no no
So came over
Mmh yee came over
Ziro distance na miss so baby boy just come over
eyee come over
Husipotee mbali na mi so baby boy just come over