![Nalewa ft. Maua Sama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/11/83e9fefd337c4c1ab3cd9e678e30bcb7.jpg)
Nalewa ft. Maua Sama Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Nalewa ft. Maua Sama - Stamina (TZ)
...
Stamina mi mkali
Leo silewi ninakunywa kwa machale
Waite wa masaki waite wa Tandale
Waambie hatuli ugali maana wote
tuna chale
Nina kibunda kwa hio fresh sina wasi
Na sio bill nalipa mpaka visasi
Ukinikuta counter kaa mbali we
mbwiga
Maana mpaka pombe nalipa kwa
namba nida
Tafuta hela wewe
Usijifanye unanijua
Unazingua mi mwenzako
Hata vyoo unazimbua
Una akili wewe
Usijifanye unanijua
Kwenye mvua kwenye jua
Napambana natusua
Kazi yako mfukoni pamba na ndimi
Ukipewa damu undataka upewe na
kinga
Si tuna shida zetu tuskize zako
kwanini?
Hebu waiter shusha bapa watu
waunguze maini
Nataka nilewe mpaka mnibebe leo
Nasimama dede mpaka mnibebe leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh..nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Body ya kifisi na gizai ngisi inaeleweka
Na nikienda ghetto huwa sifui
naloweka
Kama ni pisi unaipa fix unaiteka
Yaani full makiss unaimix hadi inacheka
Wanaume, kuna demu ananiletea
mawenge
Andsemd siwezi game ati kISa
amejaa mauzembe
Mwambieni sio kinyonge hapa samba
tatu bila
Kila mechi hatrick huwa naondoka na
mpira
Bumper to bumper yaani chuma kwa
chuma
Hata akiingia chooni namfuata kwa
nyuma
Bar zaidi twende ghetto nikute simba
anacheza
Aki ya nani nitakula jicho mpaka libaki
kengeza
Kazi yako mfukoni pamba na ndimi
Ukipewa damu unataka upewe na
kinga
Si tuna shida zetu tuskize zako
kwanini?
Hebu waiter shusha bapa watu
waunguze maini
Nataka nilewe mpaka mnibebe leo
Nasimama dede mpaka mnibebe leo
Eeeh..nalewa leo
Eeeh..nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Nataka nilewe mpaka mnibebe
Nasimama dede mpaka mnibebe