Kabwela ft. Rich Mavoko Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2010
Lyrics
Kabwela ft. Rich Mavoko - Stamina (TZ)
...
you know what kev
this is my life men
stamina napiga msumali wa kichwa
mwili unangoja kabuli
maisha yananipiga picha
nega zinatoka vivuli
dunia tambala bovu
nalidekia kwa shida
najihidi kuisov bila kutumia fofiga
nataman nisimame ili nione maghalibi
moyo umejaa ukame kuhema unajitahidi
macho yote Yana ukungu utadhani chungu cha bibi
nataka kumwomba mungu shetan ananzidi spidi men
vizuri vikowapi navisaka havionekan
napata makapi vinono navitamani
sina Baba sina Mama sina Babu sina Bibi
uchumi wangu umesimama kama behewa la itigi
umaskini unanipodoa
bila kutumia cosmetic
daily unanizodoa unanivuta bila magnetic
maisha yangu hayana swaga kama Masai wa njilo
nataman Kula bata naishia viazi vya gailo
Leo nimepata Kesho nimekosa
nachohifadhi maumivu tu
life ni ngumu bado unanichosha
nakula mbichi sili mbivu